Mbona kama CHADEMA imepoa baada ya uchaguzi wao wa ndani

Mbona kama CHADEMA imepoa baada ya uchaguzi wao wa ndani

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Mbona imechokwa mapema, naona tangu uchaguzi umalizike hivi sasa zii.
Au ulikuwa moto wa vifuu?
Lema kaenda likizo?
 
Mbona imechokwa mapema, naona tangu uchaguzi umalizike hivi sasa zii.
Au ulikuwa moto wa vifuu?
Lema kaenda likizo?
Mbona wewe kila siku unaazisha nyuzi zaidi ya kumi kuihusu Chadema kwanini usiandike kuhusu ACT Wazalendo yako au CUF? Huoni kuwa unajipinga mwenyewe? Au na wewe ni mfu ndiyo maana unaandika habari za chama mfu? Tumia akili kufikiri badala ya kinyeo.
 
Kula yake inategemea kuikandia CHADEMA.

Anaiwaza CHADEMA, kuliko hata wana CHADEMA wenyewe.
 
Kuongoza chama cha upinzani sio lele mama, mpaka sasa hajalipa mishahara ya watumishi wa chama makao makuu
Kama chama hakina pesa ya kulipa mishahara watu wa HQ basi kweli mbowe alikua hastaili kuendelea kuwa mwenyekiti
 
Mbona mwenyekiti alisema wanaenda kujifungia ndani takribani wiki nzima
Wajifungie.halafu wale nini chama hakina hela
Lisu mwenyewe yuko.nje anazurura mahakamani kesi ya Slaa
 
Nao wanakushangaa
1738430659798.jpg
 
Kama chama hakina pesa ya kulipa mishahara watu wa HQ basi kweli mbowe alikua hastaili kuendelea kuwa mwenyekiti
Mbowe Alikuwa anajua pesa atoe wapi za kulipa mishahara

Lisu hajui

Wakati wa Mbowe haikuwa shida kuwalipa
 
A
Kama chama hakina pesa ya kulipa mishahara watu wa HQ basi kweli mbowe alikua hastaili kuendelea kuwa mwenyekiti
Acha kutafuta kichaka. Chama umepewa ,Mbowe wa nini tena? LIpa mishahara bwana ebo!
 
CHADEMA IKIPIGA MAYOWE MNAWEWESEKA.
CHADEMA IKIKAA KIMYA MNAWEWESEKA.

SHIDA NI NINI MKUU.

MUDA WA DAWA KUWAINGIA BADO MSIWE NA WASI
😍🤩😍
 
Back
Top Bottom