Mbona kama CHADEMA imepoa baada ya uchaguzi wao wa ndani

Mbona imechokwa mapema, naona tangu uchaguzi umalizike hivi sasa zii.
Au ulikuwa moto wa vifuu?
Lema kaenda likizo?
Kuongoza chama cha upinzani sio lele mama, mpaka sasa hajalipa mishahara ya watumishi wa chama makao makuu
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, msipopata vidonda vya tumbo safari hampatali tena, kwa hili dua la kuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…