Hivi jamani Amini na Linah wamerudiana, mbona mimi nashindwa kuwaelewa hawa wasanii wa bongo flavour? Wanaleta usanii mpaka kwenye mapenzi?
hawa watakuwa wamerudiana maana siku ya bongo star search ilikuwa ni mahaba tuuu!
Jamani wasanii wenu wa bongo flavour, au ninyi mnaishi nchi za nje?