Mbona kama Mikopo ya Mtandaoni inaendelea licha ya BOT kukataza?

BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake.

Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu?

PIA SOMA
- BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!
Hiyo ni ishara kwamba kuna watu hawawajibiiki ipasavyo. Pia ni ishara nyingine hao wakubwa wanaendesha biashara hizo ndo mana hakuna mtu wa kufanya enforcement ya sheria. Zimerudi kwa kasi kweli kweli, yni kiufupi ubaya ubwela
 
Baada ya BOT kutanganza vile yaafuatayo yangetakiwa fanyika

1. BOT ingetoa onyo kwa kampuni zote zinazofanya integration ya payment systems kwa hizi kampuni za mikopo, iache mara moja, na kwakua kampuni hizi zinajulikana basi zingefungiwa leseni na kusitisha kazi zao zingesalim amri.

2. TCRA ingetakiwa pinpoint kampuni hizi zilipo ili ziweze chukuliwa hatua za kisheria, so far ninachojua kampuni hizi zinafanya kazi kwa kificho kificho sana, bila msaada wa TCRA hakuna kitu kinaweza fanyika.

Mbinu mpya wanayotumia sasa ni kubadilisha majina ya application zao, hivyo app zilizokuwa listed na BOT unaweza usizipate popote pale.

Kiufupi BOT hawajaamua tu kudeal na hawa watu.
 
Ili iwe aje wewe unufaike na nn?
 
Nenda kaombe kazi BOT ufanye wewe
 
TCRA mnafanya nini ??? Polisi mnafanya nini ?? mbona imewezekana kuwafatilia kina nanihii mnashindwa vipi hawa wahalifu wa mitandaoni wakai wana shiikiana na makampuni ya pesa kuchukua pesa za waTZ ???
CCM mmeshindwa kweli ??? BOT mmeshindwa ?????
 
Back
Top Bottom