Hiyo ni ishara kwamba kuna watu hawawajibiiki ipasavyo. Pia ni ishara nyingine hao wakubwa wanaendesha biashara hizo ndo mana hakuna mtu wa kufanya enforcement ya sheria. Zimerudi kwa kasi kweli kweli, yni kiufupi ubaya ubwelaBOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake.
Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu?
PIA SOMA
- BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!
Ili iwe aje wewe unufaike na nn?Baada ya BOT kutanganza vile yaafuatayo yangetakiwa fanyika
1. BOT ingetoa onyo kwa kampuni zote zinazofanya integration ya payment systems kwa hizi kampuni za mikopo, iache mara moja, na kwakua kampuni hizi zinajulikana basi zingefungiwa leseni na kusitisha kazi zao zingesalim amri.
2. TCRA ingetakiwa pinpoint kampuni hizi zilipo ili ziweze chukuliwa hatua za kisheria, so far ninachojua kampuni hizi zinafanya kazi kwa kificho kificho sana, bila msaada wa TCRA hakuna kitu kinaweza fanyika.
Mbinu mpya wanayotumia sasa ni kubadilisha majina ya application zao, hivyo app zilizokuwa listed na BOT unaweza usizipate popote pale.
Kiufupi BOT hawajaamua tu kudeal na hawa watu.
Nenda kaombe kazi BOT ufanye weweBaada ya BOT kutanganza vile yaafuatayo yangetakiwa fanyika
1. BOT ingetoa onyo kwa kampuni zote zinazofanya integration ya payment systems kwa hizi kampuni za mikopo, iache mara moja, na kwakua kampuni hizi zinajulikana basi zingefungiwa leseni na kusitisha kazi zao zingesalim amri.
2. TCRA ingetakiwa pinpoint kampuni hizi zilipo ili ziweze chukuliwa hatua za kisheria, so far ninachojua kampuni hizi zinafanya kazi kwa kificho kificho sana, bila msaada wa TCRA hakuna kitu kinaweza fanyika.
Mbinu mpya wanayotumia sasa ni kubadilisha majina ya application zao, hivyo app zilizokuwa listed na BOT unaweza usizipate popote pale.
Kiufupi BOT hawajaamua tu kudeal na hawa watu.
Mm wameacha kabisaNabado wanatupigia simu kwa kutufokea kutudai.
Kabisa watu wamekamia tafikiri yaani imewauma sijui nn mbna magendo mengi tu nchiniWaache wale kwa urefu wa kamba zao
Ndo ukweli enhee wakitoa utanufaika nn labdaToka uko
Akili yangu naitumia viziri sema wewe unekosa yako ndio maana unaongea tu ujinga hata uelewi unaongea ili iwejeAcha ujinga...tumia akili yako vzur
Jukopa sherehe kulipa matanga,kwani wakiacha kukopa nani watamkopesha means automatically taasisi zitakufa zenyewe tatizo ni sisi wenyeweMnakopa mkitakiwa kulipa mnaanza kuwalilia BoT. Wabongo.