J jimmi2024 Senior Member Joined Mar 3, 2024 Posts 154 Reaction score 161 Dec 12, 2024 #21 bhututu said: Mnakopa mkitakiwa kulipa mnaanza kuwalilia BoT. Wabongo. Click to expand... Jukopa sherehe kulipa matanga,kwani wakiacha kukopa nani watamkopesha means automatically taasisi zitakufa zenyewe tatizo ni sisi wenyewe
bhututu said: Mnakopa mkitakiwa kulipa mnaanza kuwalilia BoT. Wabongo. Click to expand... Jukopa sherehe kulipa matanga,kwani wakiacha kukopa nani watamkopesha means automatically taasisi zitakufa zenyewe tatizo ni sisi wenyewe
Msaga_sumu JF-Expert Member Joined Aug 31, 2022 Posts 289 Reaction score 291 Dec 12, 2024 #22 jimmi2024 said: Jukopa sherehe kulipa matanga,kwani wakiacha kukopa nani watamkopesha means automatically taasisi zitakufa zenyewe tatizo ni sisi wenyewe Click to expand... Staki nataka hata serikali inakopeshwa kuna mda kwa masharti magumu kuna mda kwa masharti rahisi umewahi ona wakikataa wanaama kwa mkopaji tu 😂
jimmi2024 said: Jukopa sherehe kulipa matanga,kwani wakiacha kukopa nani watamkopesha means automatically taasisi zitakufa zenyewe tatizo ni sisi wenyewe Click to expand... Staki nataka hata serikali inakopeshwa kuna mda kwa masharti magumu kuna mda kwa masharti rahisi umewahi ona wakikataa wanaama kwa mkopaji tu 😂