Mbona kama Yanga Wana wasiwasi...Watatoboa kweli?

Mbona kama Yanga Wana wasiwasi...Watatoboa kweli?

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,967
Kwema wadau?

Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?

Watatoboa kweli leo?

Daah tuombe Mungu!!!
 
Back
Top Bottom