MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Bado, nasikia wanacheza saa 10 jioni ya leo.Wameanza kucheza?
Nafikiri wanahitaji kupatiwa counseling kabla hawajaanza kuchezaMe nimewaona huku mjini Wana mcharuko kwelikweli!
Ni kweli,wale watu wa sailolojia wangewasaidia kuwapa hiyo huduma...maana Wana hasirahasiraNafikiri wanahitaji kupatiwa counseling kabla hawajaanza kucheza
Na wewe mwananchi kwani?mbona mkalimkaliNonsense
Tena wananchi ndio washapata kisingizio LeoHii mvua sina imani nayo
Sema sijaenda uwanjani.. hii mvua hapanaNa wewe mwananchi kwani?mbona mkalimkali
🤣Leo mko wakali sanaAcha hizi ujinga alooo
Joh uchawi umeanza lini 🤨Tena wananchi ndio washapata kisingizio Leo
SEMA za Ukweli mvua imeharibu vibeSema sijaenda uwanjani.. hii mvua hapana
Joh uchawi achia kina USM ALGER🤣Leo mko wakali sana
Tuwaombee sana..Kwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti ni kweli?
Watatoboa kweli leo?
Daah tuombe Mungu!!!
Mi mjukuu wa sheakh Yahya Eva😂Joh uchawi umeanza lini 🤨
Hakika maombi yetu yawasindikize