Mbona Kenyan forums Tanzanians?

Juu ya inferiority complex
Juu mnajua wakenya ndio wanaweza

"KENYA FORUM" hapa JF ndio inaleta profit .....sisi sio LDC wakenya wakitoka JF most of you wont have a reason to log in; JF will die
Shida nyinyi mnapenda kujipendekeza sana na kujishaua huku hamkualikwa na wala hamkulazimishwa kuja sasa kupewa nafas tu kwenye geto la msela unataka kujifanya kama vile we ndo mmiliki wa nyumba upumbavu wenu mpelekeane hukohuko kwenu
 
Jamii forums imejawa na watanzania na wakenya
Bus kenyans ni kama asilimia0.1 ya tanzanians so tanzanians wanaona kama jamiiforums yote inawahusu
 
Mkuu chagua kuandika kwa lugha moja kiswahili hama kiingereza. Sijaelewa
 
Why Tanzania?

Kilimanjaro in Tanzania
Olduvai George in Tanzania
Magufuli in Tanzania
Nyerere in Tanzania
Kiba in Tanzania
Diamond in Tanzania

And also
Rooney in Tanzania!!???
 
Ukimaliza hapo unambie kwa nini magazeti ya Kenya siku hizi kila yakiandika habari yanailinganisha habari hiyo na hali ilivyo Tanzania!
 
Waliposema Kenyan forum kwani walimaanisha wasio wakenya wasihusike,na kuna tatizo gani ?
 
Baba mwenye nyumba ana haki ya kuchk popote muda wote
 
Hatuna roho mbaya,,,mbona tusiwe marafiki azin tuwache kuvurugana????

Big Baba

[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…