N nat867 Member Joined Feb 14, 2008 Posts 97 Reaction score 7 Feb 9, 2009 #1 Nashangaa moto wa vyombo vya dola umepoa. Mbona kesi za EPA Hazirindimi? Au zilihairishwa hadi lini au ni indefinetely. Na je mbona hakuna ingizo jipya maana bado kuna kampuni kibao hazijafikishwa kwa pilato, any news!
Nashangaa moto wa vyombo vya dola umepoa. Mbona kesi za EPA Hazirindimi? Au zilihairishwa hadi lini au ni indefinetely. Na je mbona hakuna ingizo jipya maana bado kuna kampuni kibao hazijafikishwa kwa pilato, any news!