S SunStrong Member Joined Jan 24, 2011 Posts 56 Reaction score 3 Mar 21, 2011 #1 Yani huku kibamba ni tabu tupu, hakuna mtandao hata mmoja unaokidhi mahita ya inerternet. airtel ndo kidogo wanajikongoja na speed yao inacheza kati ya 11.1 to 158kbps. mara nyingi huwa inakata.
Yani huku kibamba ni tabu tupu, hakuna mtandao hata mmoja unaokidhi mahita ya inerternet. airtel ndo kidogo wanajikongoja na speed yao inacheza kati ya 11.1 to 158kbps. mara nyingi huwa inakata.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Mar 21, 2011 #2 natumia voda na haina shaka
BinMgen JF-Expert Member Joined Jun 18, 2008 Posts 1,858 Reaction score 284 Mar 21, 2011 #3 MTM said: natumia voda na haina shaka Click to expand... upo kibamba?
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Mar 21, 2011 #4 huwa nakua sana pale nyuma ya akina kihampa... voda inakamata 24 hours, TTCL mang'amung'amu na airtele si wabaya sana
huwa nakua sana pale nyuma ya akina kihampa... voda inakamata 24 hours, TTCL mang'amung'amu na airtele si wabaya sana