CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Wanamsahau Abas Gulamali aliyekuwa mfadhili wao mkuu naye alikuwa Zungu hadi ngada ikamtoa rohoHao wanaojitoa ufahamu wanasahu aliyekua mwenyekiti wao kesi ya mihadarati wanamsahau Yusuph Manji aliyepimwa mkojo
Ungeanza na mapendekezo kuwa labda yule hakutakiwa kukanwa, na pengine yule angetambulishwa baada ya muda gani au asingetambulishwa hadi msimu uishe, nk, vitu kama hivyoKocha kakanwa kabla jogoo hajawika. Mwingine kateuliwa kabla giza halijaingia, hili linaleta sintofahamu kuhusu hii skenfldo ya madawa ya kulevya. Serikali ichunguze kwa makini sana kuna shida mahala.
Panapofuka moshi tupawahi mapema kabla moto hujawaka kuokoa timu yetu.
Nachukia kuitwa Ngada FC, Yanga mtulie kidogo wakati huu tunapomtafuta huyu nyoka ndani na kusafisha jina letu.
Kama mazingira kwa nini huyo Mwarami asimtaje bosi yyt wa Simba?Hakuna anayeligeuza ila mazingira 😹
Kwa hiyo unapendekeza timu yetu tuondoe irabu "i" na "a" na badala yake tuweke irabu "e" sehemu zote mbili?Ngada FC aka Sembe FC.
Kwa hiyo Manji anakufanya uone NGADA za Simba ni sahihi..!?? KWa hiyo 34.89kg unaona ni sawa na mhadarati uliokutwa kwenye mkojo..!!! Kweli nyie ni mambumbumbu na mnastahili kuitwa NGADA FCHao wanaojitoa ufahamu wanasahu aliyekua mwenyekiti wao kesi ya mihadarati wanamsahau Yusuph Manji aliyepimwa mkojo
Kumkana mtu kwa sababu amepatwa matatizo ni michezo ya kitoto.
1. Unaposema hakuwa mwajiriwa, je nani alikua kocha wa makipa kwa muda wote ambao kblabu imecheza mechi za kitaifa na kimataifa?
2. Unaposema alikua na mkataba wa mwezi mmoja tu, mbona tumemuona kwenye klabu kwa zaidi ya mwezi mmoja? Hiyo miezi mingine alikua anauza Ice cream au?
3. Halafu mbona hamsemi huo mkataba wa mwezi mmoja ulianza lini na kumalizika lini?
4. Na alipomaliza mkataba, klabu ilitoa taarifa yoyote kwa umma?
5. Ni aibu timu kubwa kama Simba kukiri kwamba ilikua na kocha Vodafasta. Ni aibu zaidi kumtangaza kocha mpya wa makipa masaa matatu baada ya Mharami kukamatwa? Kwanini Kocha mpya atangazwe leo na sio jana au juzi?
6. TFF mjitathmini kwa hili. Kazi yenu sio kupanga ratiba ya ligi na kumfungia Manara. Ni kusimamia maendeleo ya soka. Mnaruhusuje klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa kuwa na Kocha wa mwezi mmoja? Hata housegirl hapewi mkataba wa mwezi mmoja siku hizi. Imekuaje kwa Mharami? Mikataba ya wachezaji na makocha inakua reviewed na TFF. Kwahiyo mlireview huu wa mwezi mmoja na mkapitisha?
7. Simba kumkana Muharami kunatoa tafsiri gani kwa Mgunda? Je na yeye akipata matatizo tutamkana kwamba hajawahi kuwa kocha wetu? Au tutasema tulimuazima kwa mkataba wa miezi miwili ambayo ilishaisha?
8. Hakuna dhambi yoyote kukiri kwamba Muharami alikua Kocha wetu wa makipa. Na kukiri hivyo haifanyi makosa yake yawe makosa ya klabu. Muharami amekamatwa katika shughuli zake binafsi, sio shughuli za kblabu. Kwahiyo hata kama tungekubali kwamba alikua kocha wetu, haifanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu.
9. Pia viongozi wakumbuke kwamba hizi ni tuhuma tu, ambazo hazijulikani kama ni za kweli au uongo, hadi pale Mahakama itakapothibitisha pasi na shaka (beyond reasonable doubts). Tumekimbilia haraka kujisafisha kana kwamba Muharami ameshakutwa na hatia na amehukumiwa. Je ikiwa mahakama itamwondolea hatia na kusema tuhuma zake si za kweli, tutaambia nini watu?
10. Kujisafisha kwa kumkana Mharami ni kujichafua zaidi. Na kukubali kuwa alikua kocha wetu, hakufanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu. Pigia mstari.!
Hiyo itapendeza.Kwa hiyo unapendekeza timu yetu tuondoe irabu "i" na "a" na badala yake tuweke irabu "e" sehemu zote mbili?
Kocha kakanwa kabla jogoo hajawika. Mwingine kateuliwa kabla giza halijaingia, hili linaleta sintofahamu kuhusu hii skenfldo ya madawa ya kulevya. Serikali ichunguze kwa makini sana kuna shida mahala.
Panapofuka moshi tupawahi mapema kabla moto hujawaka kuokoa timu yetu.
Nachukia kuitwa Ngada FC, Yanga mtulie kidogo wakati huu tunapomtafuta huyu nyoka ndani na kusafisha jina letu.
CEO ameona aibu baada ya watu kuhoji kwanini club kubwa Afrika inakuwa na makocha vibarua/day worker.
Kocha mkuu day worker, kocha wa makipa naye day worker na muuza unga.
Kumkana mtu kwa sababu amepatwa matatizo ni michezo ya kitoto.
1. Unaposema hakuwa mwajiriwa, je nani alikua kocha wa makipa kwa muda wote ambao kblabu imecheza mechi za kitaifa na kimataifa?
2. Unaposema alikua na mkataba wa mwezi mmoja tu, mbona tumemuona kwenye klabu kwa zaidi ya mwezi mmoja? Hiyo miezi mingine alikua anauza Ice cream au?
3. Halafu mbona hamsemi huo mkataba wa mwezi mmoja ulianza lini na kumalizika lini?
4. Na alipomaliza mkataba, klabu ilitoa taarifa yoyote kwa umma?
5. Ni aibu timu kubwa kama Simba kukiri kwamba ilikua na kocha Vodafasta. Ni aibu zaidi kumtangaza kocha mpya wa makipa masaa matatu baada ya Mharami kukamatwa? Kwanini Kocha mpya atangazwe leo na sio jana au juzi?
6. TFF mjitathmini kwa hili. Kazi yenu sio kupanga ratiba ya ligi na kumfungia Manara. Ni kusimamia maendeleo ya soka. Mnaruhusuje klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa kuwa na Kocha wa mwezi mmoja? Hata housegirl hapewi mkataba wa mwezi mmoja siku hizi. Imekuaje kwa Mharami? Mikataba ya wachezaji na makocha inakua reviewed na TFF. Kwahiyo mlireview huu wa mwezi mmoja na mkapitisha?
7. Simba kumkana Muharami kunatoa tafsiri gani kwa Mgunda? Je na yeye akipata matatizo tutamkana kwamba hajawahi kuwa kocha wetu? Au tutasema tulimuazima kwa mkataba wa miezi miwili ambayo ilishaisha?
8. Hakuna dhambi yoyote kukiri kwamba Muharami alikua Kocha wetu wa makipa. Na kukiri hivyo haifanyi makosa yake yawe makosa ya klabu. Muharami amekamatwa katika shughuli zake binafsi, sio shughuli za kblabu. Kwahiyo hata kama tungekubali kwamba alikua kocha wetu, haifanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu.
9. Pia viongozi wakumbuke kwamba hizi ni tuhuma tu, ambazo hazijulikani kama ni za kweli au uongo, hadi pale Mahakama itakapothibitisha pasi na shaka (beyond reasonable doubts). Tumekimbilia haraka kujisafisha kana kwamba Muharami ameshakutwa na hatia na amehukumiwa. Je ikiwa mahakama itamwondolea hatia na kusema tuhuma zake si za kweli, tutaambia nini watu?
10. Kujisafisha kwa kumkana Mharami ni kujichafua zaidi. Na kukubali kuwa alikua kocha wetu, hakufanyi tuhuma zake kuwa tuhuma za klabu. Pigia mstari.!
Manji hakukamatwa na madawa ya kulevya kama ilivyo kwa kocha wa Simba kakamatwa na kizibiti huoni kama Kuna utofautiHao wanaojitoa ufahamu wanasahu aliyekua mwenyekiti wao kesi ya mihadarati wanamsahau Yusuph Manji aliyepimwa mkojo
Manji alikutwa na kiroba cha sembe?Hao wanaojitoa ufahamu wanasahu aliyekua mwenyekiti wao kesi ya mihadarati wanamsahau Yusuph Manji aliyepimwa mkojo
Pale akili ya mwanamke inapokua ndo mwamuzi wa mwisho ndo madhara yake hayoSimba wanaviongozi wa ajabu. Na ndio maana wanaizamisha Simba kila siku. Wangekaa kimya na kuacha mambo yenyewe yajiseti, muda wote hawana kocha wa makipa, leo kakamatwa wanamkana na kuteua Hapo hapo, Kama ni mpelelezi utagundua Kuna kitu Hapo.
Tofautisha kutumia na kusambaza sembeWanamsahau Abas Gulamali aliyekuwa mfadhili wao mkuu naye alikuwa Zungu hadi ngada ikamtoa roho
Ngada FC aka kilo 34Hayo yote ni maisha binafsi ya mtuhumiwa na haina uhusiano na TAASISI.
Inasemekana ndio maana Matola hatoki pale.Mo achunguzwe pia. Isije kuwa Huyo wanaemkana alikuwa punda wake. Timu ya mapunda fc.