Mbona kwenye video za matukio ya ndoa ya Hamisa na Aziz Ki, Aziz Ki anaonekana kama zoba zoba fulani hivi kuliko akiwa uwanjani?

Mbona kwenye video za matukio ya ndoa ya Hamisa na Aziz Ki, Aziz Ki anaonekana kama zoba zoba fulani hivi kuliko akiwa uwanjani?

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Wakuu,

Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa kwenye hili tukio zima.

Single mazas wengine na wanawake mliovuka 30s nendeni kwa hamisa awaambie mganga wake anapatikana wapi la sivyo MTAKULA MLIPOPELEKA BIKRA ZENU.

I mean no mallice to anybody.
 
1739388788187.jpg
 
🤣😂
ila mbona ndoa hii imewauma sana wanaume jamani, yani tumezoea wanawake ndo tunaoneana wivu.

Hili la hamisa wanaume mmeshindwa kujishikilia kabisa!
KHA!
🤣😂
 
Back
Top Bottom