Mbona leo JF imetulia hivi?

Mbona leo JF imetulia hivi?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Leo mbona JF imetulia sana yaani toka asubuhi sijaona thread mpya na wala sioni comments kwenye thread nilizosubscribe...

Kumbe kuna maisha nje Ya JF.
Kuna watu wanasolve Kesi za ndoa..

Wengine wanafikiria boss atasemaje kesho..
Wengine wanafikiria jinsi ya kumtokea mtoto mzuri.
Wengine wanafikiria kesho wavae nini?

Wengine wameachana na wapenzi wao.
Wengine kampeni zimenoga wanafatilia siasa sana kuliko vyote
 
Labda watu wanatafuta njia mbadala ya Jf maana dah
 
Back
Top Bottom