round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k.
Zelensky alidhani kwamba baada ya kukimbia Marekani na kuelekea Ulaya angeliweza kupata msaada mkubwa zaidi, Lakini alijikuta na mshangao baada ya kupewa mkopo badala ya kupewa msaada, halafu kiasi alichopewa ni dola bilioni 2 tu wakati Marekani ilikuwa inampa mafungu ya dola bilioni 10
Kwa namna Rais wa Marekani alivyo ajipange kisaikolojia, masharti yanaweza kubadilishwa ili kumfunza somo, Tatizo la Zelensky anatafuta win win situation, hilo jambo asahau mbele ya Trump
Zelenskyy says he is ready to sign minerals deal and relations with US will continue – video
Zelenskyy speaks after summit – video