Mbona mapema sana ? Baada ya Zelensky kukataa kusaini mkataba wa madini Marekani na kutimkia ulaya, kabadili msimamo yupo tayari kusaini,

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Your browser is not able to display this video.


Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k.

Zelensky alidhani kwamba baada ya kukimbia Marekani na kuelekea Ulaya angeliweza kupata msaada mkubwa zaidi, Lakini alijikuta na mshangao baada ya kupewa mkopo badala ya kupewa msaada, halafu kiasi alichopewa ni dola bilioni 2 tu wakati Marekani ilikuwa inampa mafungu ya dola bilioni 10

Kwa namna Rais wa Marekani alivyo ajipange kisaikolojia, masharti yanaweza kubadilishwa ili kumfunza somo, Tatizo la Zelensky anatafuta win win situation, hilo jambo asahau mbele ya Trump

 
Habari tuliitegemea ila huja leta source yake mkuu,
 
unashabikia ukoloni ? sijakuelewa
 
Zele mjanja si muafrika hawez sain kama trump anavompeleka
 
Jitahidi ujifunze International Diplomacy. Hutahangaika na hivi vipost uchwara.

Nikusaidie kidogo; hakuna mahali Zele amekataa kusaini mkataba huo wa madini. Kilichomfanya kughairi siku ile kwenye Oval Office ni ujinga wa Trump na JD Vance kuamini atasaini tu Hana namna. Na yeye akawaonesha anaweza akagoma akasini baadae na ndio maana alipofika London alipoulizwa maoni yake kuhusu Trump alojibu, "F....k him" na Waingereza wakamshangilia!

International Diplomacy is very interesting if you know it!
 
Amekubali kwa sababu EU wameingilia na kuweka masharti ambayo Russia anatakiwa kufuata ili kumaliza vita.
 
Hivi kukataa kusaini na kugoma kusaini kuna tofauti au mimi ndo sijaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…