Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Meddy Kagere upigaji wake wa penati ni wa kishamba sana, hajaanza kupiga penati za hovyo leo, hata alipokuwa Simba alikuwa akipiga penati kimasihara.
Ila nna wasiwasi sana pale Singida kuna mastriker 2 anagombania nao namba, lakini simlaumu hata sisi Kennedy Juma mchezaji wa zamani wa Singida kawapa goli walima alizeti hao na kutufanya tuhangaike mwanzo mwisho, mnamlaumu Kagere tu mbona Kennedy hamlaumu.