Fulham ameshapanda wakati kashuka msimu wa karibuni. Norwich , Watford nao wanashuka na kupanda ndani ya muda mfupi. Burnemouth nae anaelekea kupanda wakati kashuka msimu uliopita.
Zamani ilikuwa ngumu, au viwango vya wachezaji wa kiingereza ambao ndio wengi vimeshuka? Akina fei toto , Manula n.k wakatafute fursa huko championship.