Kwa hiyo mkuu zamani walikuwa wanapewa kiasi kidogo na hivyo kushindwa kubakisha wachezaji? Akina Portsmouth, bolton, reading, birmingham n.k tangu washuke hawajarudi tenatimu zinapo panda EPL zinapata pesa nyingi sna kama zawadi na pia timu zinapo shuka zina lipwa parachute money na FA ya england.. pesa inayo fanya ziweze kubakisha wachezaji wake weng bora na ivyo kupanda tena kurud ligi kuu inakuwa ni rahisi.