Mbona Mimi sioni hiyo furaha Taifa star kushinda

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,381
Nisiwe mnafiki kabisa yani bado sijaipata hiyo furaha ya taifa star kushinda mechi dhidi ya Uganda jana! Wenzangu kipi kimekufurahisha sana juu ya wao kushinda kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utafiti tanzania ni nchi ya 153 kwa watu wasio na furaha.........
 
Sababu ni hz zifuatazo

1 ; Yule shoga aliyejipa uenyekiti wa kamati ya ushindi atajiona ndo kafanikisha hili kumbe ni mungu katukumbuka baada ya muda meefu

2; Dictator uchwara kajiona kama kuna juhudi fulani hvi kazileta

3;Ni ugumu wa maisha

4; Inawezekana ni katabia tu kakorosho, mara nyingi kanaisha baada ya kujifungua

5; Ukosefu wa elimu bora

6; Ukabila, inawezekana imekuuma kwa kuwa kikosi kizima hakikuwa na Msukuma

N:B ......Tuandae timu mapema, mziki wa AFCON c wa kitoto.
Nisiwe mnafiki kabisa yani bado sijaipata hiyo furaha ya taifa star kushinda mechi dhidi ya Uganda jana! Wenzangu kipi kimekufurahisha sana juu ya wao kushinda kwao

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww umeongea

Hahaha watz wameshasahau nusu bei[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Nisiwe mnafiki kabisa yani bado sijaipata hiyo furaha ya taifa star kushinda mechi dhidi ya Uganda jana! Wenzangu kipi kimekufurahisha sana juu ya wao kushinda kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna uwezekano "tumenunua" mechi? Maana halikuwa mechi muhimu kwa Cranes?

Napita tu! Hongera sana Taifa Stars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…