Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali hii haikuwepo wakati wa Awamu ya Tano?.
Hayati Magufuli tutakukumbuka kwa utawala wako ambao kila sekta ilitekeleza wajibu wake kwa weledi mkubwa. Pumzika kwa amani.
Hayati Magufuli tutakukumbuka kwa utawala wako ambao kila sekta ilitekeleza wajibu wake kwa weledi mkubwa. Pumzika kwa amani.