Malipo malipo malipoMiradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali hii haikuwepo wakati wa Awamu ya Tano?. Hayati Magufuli tutakukumbuka kwa utawala wako ambao kila sekta ilitekeleza wajibu wake kwa weledi mkubwa. Pumzika kwa amani.
Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali hii haikuwepo wakati wa Awamu ya Tano?.
Hayati Magufuli tutakukumbuka kwa utawala wako ambao kila sekta ilitekeleza wajibu wake kwa weledi mkubwa. Pumzika kwa amani.
Kwakweli ningekuwa na mamlaka huyu Jasco asingepewa tena kazi nyingine. Mfano marekebisho ya daraja la pale buzuruga kuelekea mahina ilikuwa ni kazi ya wiki Moja imezidi sana wiki mbili lakini Hadi Sasa ni miezi miwili halijaisha na kazi imesimama.Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali hii haikuwepo wakati wa Awamu ya Tano?.
Hayati Magufuli tutakukumbuka kwa utawala wako ambao kila sekta ilitekeleza wajibu wake kwa weledi mkubwa. Pumzika kwa amani.
Hatujalipwa kaka sasa tutafanya vipi kazi ikiwa malipo unasubiria kwa miezi 7??Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali hii haikuwepo wakati wa Awamu ya Tano?.
Hayati Magufuli tutakukumbuka kwa utawala wako ambao kila sekta ilitekeleza wajibu wake kwa weledi mkubwa. Pumzika kwa amani.
Fedha hamna toka mwezi wa 5 mwaka jana wakandarasi wanadai tarura mabilioni hawalipwi nchi imefilisikaWakati wa Hayati Magufuli kama Mkandarasi amemaliza kazi na ikakaguliwa na kupewa go ahead haimalizi hata wiki mkandarasi ataona fedha yake kwenye akaunti yake. Kulikoni leo?.