Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ubalozi wa home away from home (London) bi Mwana idi hajafuturisha..
Mzee malecelela alikuwa anafuturisha
Shariff halikadhalia
Kibelo naye alikuwa najitahidi japo ftuari zake hazikuwa za DRAFTI kama inavyptakiwa
Hivi gharama ya kufturisha watu 15 ni kubwa sana Bi Mwanaidi? Kama pesa hakuna kwa nini ubalozi usiseme tuu watu wakachanga ?
Mwaka jana tunajua kulifanyika ftari lakini waislam wa huku waliobject ftari yao kudhaminiwa na mashirika kama nyumbani
Anyway nimeona bora niwasilishe maoni ya waislam wa East and West midland
thats all
Wakubwa Tz kufuturisha limekuwa kama dili la kutangazia biashara. Watu wamelishwa futari zenye lebo za Zain, Tigo, Miss so-and-so, etc, alimradi ni biashara kwa kwenda mbele. Na kwenye futari hizo basi kama kweli ni futari! Hivi hata ambaye hajafunga huwa anafuturu? Utaona wamebandika mapicha ya watu na maneno makubwa "mkuu wa nanihii ya nanihii akifuturu jana katika futari iliyoandaliwa na kampuni ya nanihii!" Sasa sijui hao wengine huwa wanashauriwa wafunge kwanza au wanakwenda tu kujazilizia futari juu ya "ze laga"? Ati hata washindi wa mashindano ya urembo (ambayo yanapingwa na dini mbalimbali) nao wanafuturisha! Wakuu, sawa hiyo? Kwa ujumla hii dhana ya kufuturisha kama inavyotumika sasa hivi Tz imenipita kando kabisa!
Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ubalozi wa home away from home (London) bi Mwana idi hajafuturisha..
Mzee malecelela alikuwa anafuturisha
Shariff halikadhalia
Kibelo naye alikuwa najitahidi japo ftuari zake hazikuwa za DRAFTI kama inavyptakiwa
Hivi gharama ya kufturisha watu 15 ni kubwa sana Bi Mwanaidi? Kama pesa hakuna kwa nini ubalozi usiseme tuu watu wakachanga ?
Mwaka jana tunajua kulifanyika ftari lakini waislam wa huku waliobject ftari yao kudhaminiwa na mashirika kama nyumbani
Anyway nimeona bora niwasilishe maoni ya waislam wa East and West midland
thats all
Futari ya serikali ina ladha gani na futari ya watu kujipikia wenyewe? Jana jioni nilikuwa mahali Watanzania wamealikana kwa futari, na katika mawazo yangu sikuwa nafikiria ati Balozi Ombeni Sefue aandae futari na asipofanya hivyo nishangae kwanini hakufanya ilivyo kawaida au kile ambacho alipaswa kufanya.?
Neno la kiswahili "kudeka" limenijia mawazoni.