Mbona nchi nyingine hawakilii kutembelewa na Magufuli!

Mbona nchi nyingine hawakilii kutembelewa na Magufuli!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
*hawalilii
Ni kwa nini ni big deal kwa Kenya kutembelewa na Magufuli wetu mpaka hata mnajadili nchi nzima kwa nini hajaja Kenya?
Mbona nchi nyingine hawalalamiki SADC ambapo TZ ndiyo mmoja wa Waanzilishi bado hajatembelea mbona siyo big deal? Ni kwa nini Wakenya wamelishupalia hili?

Isitoshe nchi ya TZ iliwakilishwa kikamilifu huko Waziri Mkuu na timu yake walikuwepo sasa tatizo ni nini?
Acheni ujinga fuatilieni maisha yenu, tuacheni na maisha yetu!
 
Wakenya wanatupenda mno alafu wanatuwaza sana
 
Wewe ni muongo angalia jinsi wakenya wanamuona magu ni msigina haki ya vyombo vya habari na sheria.
downloadfile-1.jpeg


Swissme
 
Back
Top Bottom