khalid hakim
Member
- Aug 15, 2012
- 8
- 0
Nlichaguliwa Bs in agriculture economics and agrobusness -SUA bt jina langu silion naomba mnisaidie wanajamvi
ni ya kilimo,ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele.Kutokana na serikali ni kozi za kilimo na sayansi zinazopewa kipaumbele.Hivi Agribussness na yenyewe ni kozi ya science? Hebu mnaoifahamu hii kozi tujuzeni.