G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Nimejaribu kufatilia taarifa za ushindi wa Kenyatta, hapa kwetu sijaona salamu za pongezi zikitoka kwa haraka kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita, tukiachia hapa kwetu AU, pamoja na nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki ya Ulaya zote zipo kimya, na nchi nyingi duniani kwa ujumla. Nimeona Observers kama Thabo Mbeki wakiogopa kujibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari. Hii picha inatuonyesha nini?