G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Mkuu picha ya salamu za pongezi ntaitoa wapi wakati nimeakwambia kuwa sijaziona zikimiminika au unataka nipike data?Weka picha
Ndio kawaida ya nchi za Africa.Jamaa kalazimisha kuwa alipo
Watamgomea hadi akome
Kipindi kile mu7 alikuwa wa kwanza ku tweety nashangaa kipindi hiki, ndo atakuja baadaye labda.Ndio kawaida ya nchi za Africa.
Tazama Uganda Museven anabadili katiba ili aendelee kutawala.
Burundi kwa Nkurunziza unajua kilichotokea
Tazama Rwanda, ukijitokeza kua mpinzani tu ujue una hali ngumu mpaka mama yako atakamatwa.
Tazama Kenya tu mambo magumu mno mpaka serikali inaamua kuua afisa wa tume ya uchaguzi.
Angalia huko Ethiopia, angalia Congo, angalia SA.
Kuhusu TZ sijui....[emoji23]
Kwa ufupi bara la Africa labda kiazi chetu kikiondoka mambo yanaweza kubadilika
Ni kweli mkuu waliaibika sana saa hizi nadhan watasubir aapishwe kwanzaHawampongezi maana mahakama ya maraga haikawii kuwaumbuwa?SI unakumbuka waangalizi WA kimataifa walivoumbuliwa?
Nimejaribu kufatilia taarifa za ushindi wa Kenyatta, hapa kwetu sijaona salamu za pongezi zikitoka kwa haraka kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita, tukiachia hapa kwetu AU, pamoja na nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki ya Ulaya zote zipo kimya, na nchi nyingi duniani kwa ujumla. Nimeona Observers kama Thabo Mbeki wakiogopa kujibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari. Hii picha inatuonyesha nini?
Hiyo imefikaHongera sana Rais Kenyatta.
Wanaweza wakasubir hadi apate uhalali wa Maraga make, Maraga hachelewi kubatilishaChadema kulikoni, mbona hawajampongeza mwenzao.