GE2025 Mbona Samia Suluhu hasemi lolote kuhusu ufisadi, hata angalau kwa bahati mbaya ?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama kuna mahala popote Samia kaonesha nia ya dhati ya kupambana na ufisadi ninaomba kuona hiyo video.

Au ufisadi umeshaisha kabisa hapa nchini?
Fisadi namba moja hawezi kukemea ufisadi. Huyu ni fisadi kuliko hata ufisadi wenyewe.
 
Tuliombee Taifa Tusifike ya Nepal..
 
Kama kuna mahala popote Samia kaonesha nia ya dhati ya kupambana na ufisadi ninaomba kuona hiyo video.

Au ufisadi umeshaisha kabisa hapa nchini?
Sasa yeye ndo kibaka namba moja atamkemea nani? Alisema kila mtu ale kwa kamba yake na yeye as it happens ndo mwenye kamba ndefu zaidi anakula haachi kitu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…