Mbona shikamoo zimekuwa nyingi

Mbona shikamoo zimekuwa nyingi

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Wakuu

Yaani salamu za shikamoo zimekuwa nyingi sana, wakati nikijiangalia kwenye kioo bado najiona Handsome.

Ni mnyamwezi fulani hv najipenda muda wote nanukia, kipato si haba. Nina O moja matata. Nywele zangu ni kama za kiarabu kwahiyo kinyozi anakula angle hatari. Ila Dah shikamoo zimekuwa nyingi sana.

Wakuu nishaurini kama sitaki kupokea shikamoo niwe najibu nini ? Mimi huwa nikiambiwa shikamoo najibu mambo binti. Sijui nyie huwa mnafanyaje.
 
Hua nachukizwa na mwanaume anaejisifia kuhusu kunukia, sijui hb, mara nywele za kishombe, eti nayoa O.....bladi hell
Anza kujiandalia maisha ya uzeeni..😐
Nanogesha tu uzi, sipo kama unavyofikiria. Bladi shit.
 
Back
Top Bottom