Mbona sijaona habari ya mechi ya jana magazetini?

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Katika magazeti ya leo yamepoa kama hakukuwa na mechi yoyote jana, kwanini hawajaiandika magazetini?

Acheni unafiki nyinyi hivi mngeshinda kweli hapa leo si tungesoma kila page mambo ya stars?

Kuweni wazalendo.
 
Waiweke ili iweje? Matokeo tunayajua na wala hatutaki kuyaona popote, wakiweka habari za mechi ya jana hawatauza.
 
Mkuu wanajifanya wameelekeza juhudi kutangaza bunge,hata hivo wamefungwa yanga,azam na tp mazembe,simba hatukucheza
 
katika magazeti ya leo yamepoa kama hakukuwa na mechi yoyote jana, kwanini hawajaiandika magazetini? Acheni unafiki nyinyi ivi mngeshinda kweli hapa leo si tungesoma kila page mambo ya stars? Kuweni wazalendo.

mbona mmeshinda 9-2 ...kwani huna habari kwamba ushindi wa stars
umepokwa kama alivyopokwa mr. white hair.
 
Ni uzalendo pia kuumia kimya kimya
 
Hii stars imezalisha tz na imethibisha kwamba yenyewe ni kichwa cha mwendawazimu
 
Mkuu wanajifanya wameelekeza juhudi kutangaza bunge,hata hivo wamefungwa yanga,azam na tp mazembe,simba hatukucheza

Mngecheza mngefungwa mara mbili ya zile maana wale ndo wameonekana bora kuliko wenzao. Kwa ?yo kama walioonekana bora wamefungwa 7 basi hawa wenzangu na mimi wangefungwa 14+
 
Hii stars imezalisha tz na imethibisha kwamba yenyewe ni kichwa cha mwendawazimu

Wamejizalilisha wao walocheza maana si kila mtanzania ni mchezaji wa taifa stars, ila kila mchezaji wa taifa stars ni mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…