Mbona sijawahi kusikia Rais akizindua teknolojia mpya Tanzania?

Mbona sijawahi kusikia Rais akizindua teknolojia mpya Tanzania?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
Leo nilikua naangalia Rais wa Uturuki akizindua ndege mpya ya vita yenye teknolojia ya kisasa!

Nikajiuliza..

Mbona huku kwetu tunasikia rais anazindua jengo mara kituo cha afya mara mradi wa maji mbona sijawahi sikia rais anazindua teknolojia mpya?

Au sisi hatuna watafiti/wanasayansi? Je, huko vyuoni maprofesa wa IT, kilimo, uhandisi wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom