Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Ukoloni mamboleoSijui mmegundua? Akienda Ulaya ndio anajitwisha furushi la barakoa mdomoni.
Akirudi hatumuoni nalo isipokuwa tu kwenye hafla maalum ambapo kuna mabeberu.
Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu usoni.
Akipanda ndege analivua. Akiwasili anajitwika tena zigo.
Wengine huku tushasahau hata barakoa ni kitu gani! Tunaonaga tu kwenye TV.
Barakoa la mchongo. Barakoa la kuombea mkopo.
Tunadhalilika sana. Sijui lini tutakuwa na akili timamu.
Hivi wanatuonaje kwa mfano?
Yule maza ni muigizajiSijui mmegundua? Akienda Ulaya ndio anajitwisha furushi la barakoa mdomoni.
Akirudi hatumuoni nalo isipokuwa tu kwenye hafla maalum ambapo kuna mabeberu.
Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu usoni.
Akipanda ndege analivua. Akiwasili anajitwika tena zigo.
Wengine huku tushasahau hata barakoa ni kitu gani! Tunaonaga tu kwenye TV.
Barakoa la mchongo. Barakoa la kuombea mkopo.
Tunadhalilika sana. Sijui lini tutakuwa na akili timamu.
Hivi wanatuonaje kwa mfano?
Daah! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu usoni.
Unateseka ukiwa wapiSijui mmegundua? Akienda Ulaya ndio anajitwisha furushi la barakoa mdomoni.
Akirudi hatumuoni nalo isipokuwa tu kwenye hafla maalum ambapo kuna mabeberu.
Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu usoni.
Akipanda ndege analivua. Akiwasili anajitwika tena zigo.
Wengine huku tushasahau hata barakoa ni kitu gani! Tunaonaga tu kwenye TV.
Barakoa la mchongo. Barakoa la kuombea mkopo.
Tunadhalilika sana. Sijui lini tutakuwa na akili timamu.
Hivi wanatuonaje kwa mfano?
HowUnateseka ukiwa wapi
Swali gumu