figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Heshima yenu wakuu.
Mimi nilijua wavulana ndio wanao tongoza wasichana. Lakini hii tabia ya kutongozana wasichana kwa wasichana sijui imeanza lini. Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu lakini kila siku unamfuata kazini kwake eti unamtongoza.eti bila yeye huna raha. Kweli?.
Mtu ushapewa onyo lakini husikii. Unamtaka mwanamke mwenzio ukamfanye nini? mabwana huwaoni?
Achananeni na wake zetu.unajifanya shoga yake kumbe unamtongoza.
Mimi sipendi tabia hii.
Mia
Kama mwanamke aki-cheat na lesibian, ni vigumu mwanaume kujua..........................
mwambie mkeo ampige picha huyo mwanamke kisha mrushe mtandaoni kuwa ni lesbian.Atakoma kumfuata mkeo.
Na kupachika mimba pia?Aiseee. . . .
Wanaume umuhimu wenu unazidi kupunguzwa aisee.
Kwanza ilikua mahitaji ya familia. . . sasa hivi mpaka mahitaji ya kimwili wanawake wanawasaidia kuwatimizia wenzao.Poleni sana.
Aiseee. . . .
Wanaume umuhimu wenu unazidi kupunguzwa aisee.
Kwanza ilikua mahitaji ya familia. . . sasa hivi mpaka mahitaji ya kimwili wanawake wanawasaidia kuwatimizia wenzao.Poleni sana.
Na kupachika mimba pia?
duh lizy ina maana thamani ndo imeshuka kiasi hicho?
Heehehehhe. . . . mnalo!!!
Lizzy waambie hao! Afu ushoga sio genetical, mashoga wa tz wanaweza wakafanya biashara nzuri tu ya kuuza mbegu. Lol!
Well habari ndio hiyo. . .maana sijui kama kimiminika kinaweza kukosa thamani jamani duh
Lizzy waambie hao! Afu ushoga sio genetical, mashoga wa tz wanaweza wakafanya biashara nzuri tu ya kuuza mbegu. Lol!