Kwanini kila siku mnalilia kuolewa na maboy wenu kama wanaume wamepoteza thamani? kwani vitabu vya Mungu vinasemaji kuhusu mwanaume na mwanamke? Mlikuwa mnalilia haki sawa ili mkipewa haki muanze kuwadhalau waume zenu? unajua ninyi wasichana mnaochangia ndo munazidi kunukonfuzi. Mia