Abdi hussein
Member
- Feb 24, 2015
- 19
- 15
Ni kweli lkn Kuna harakati kubwa za kutambuliwa kimataifa zinafanyika, japo Kuna mataifa tayari yanatambua na pia uwizi ni mdogo sana watu Wana wacha Mali zao kwa kwenda Kuswali na kukuta salama.Tatizo ni kwamba haitambuliwi kimataifa (haitambuliwi na Umoja wa Mataifa) kama nchi huru. Hilo tu. Mengine yako poa. Kwa mfano kuna siku nilifuatilia documentary moja ya BBC, mwandishi alikwenda kwenye soko la kubadilisha fedha. Hakuwakuta baadhi ya wafanyabiashara- walikuwa msikitini kuswali, na sehemu zao za biashara hazikuwa na mwangalizi yoyote na zilikuwa wazi na hakuna mtu wa kuiba.
Tatizo ni kwamba haitambuliwi kimataifa (haitambuliwi na Umoja wa Mataifa) kama nchi huru. Hilo tu. Mengine yako poa. Kwa mfano kuna siku nilifuatilia documentary moja ya BBC, mwandishi alikwenda kwenye soko la kubadilisha fedha. Hakuwakuta baadhi ya wafanyabiashara- walikuwa msikitini kuswali, na sehemu zao za biashara hazikuwa na mwangalizi yoyote na zilikuwa wazi na hakuna mtu wa kuiba.
Kama hakuna wizi maana yake hakuna mtu wa kuiba.Hakuna mtu wa kuiba au hakuna wizi??!
Nadhani uwizi utakua mdogo sanaHakuna mtu wa kuiba au hakuna wizi??!
Vyote hakuna.Hakuna mtu wa kuiba au hakuna wizi??!
Dah nimecheka sana hili.jibuKama hakuna wizi maana yake hakuna mtu wa kuiba.
Jubaland piaKuna; Puntland, Somaliland na Somalia ya akina Alshabaab.🤣
Ipo juu ya kenya pale mdauNdo naiskia leo iyo Somaliland