B Prosper
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,527
- 4,097
JF Doctors, heshima kwenu.
Katika pitapita zangu niliweza kujifunza kuwa chanjo/ vaccine hutolewa kwa mtu ambaye ni negative yaan mtu ambaye bado hajaathiriwa na ugonjwa husika. Nikiwa na maana kwamba kama mtu ni mgonjwa basi chanjo siyo muhimu kwake badala yake atapewa dawa za kuutibu ugonjwa huo.
Sasa, hapa nahitaji kuelimishwa zaidi kuhusu hizo chanjo za covid 19, mbona sioni watu wakipimwa kwanza ili kubaini kama ni negative au positive ili wapewe/wasipewe hizo chanjo? Badala yake unajaza tu form na kupata vaccine.
Yeyote mwenye ufahamu alete elimu hapa,