Mkuu unaweza japo andika kwa ufupi kabisa, kama unajibu la swali langu. NitakushukuruNajua wengi wetu humu hatuangalii TBC ila jana nilipata bahati ya kuangalia kipindi kile kinaongozwa na Ryoba.
Kulikuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona, hizo hoja zote na zile za Gwajima zimejibiwa kiufasaha zaidi.
Kweli wewe PUNDA!!!!!Taja kiwango cha elimu ili usaidie kujibiwa. Maana swali lako na Malibu yake wanafundishwa darasa la sita
Kwa jinsi nilivyoelewa chanjo ya Corona inatolewa kwa kitu kinaitwa (emergency authorization) kama dharura kutokana na hali ya ugonjwa.Mkuu unaweza japo andika kwa ufupi kabisa, kama unajibu la swali langu. Nitakushukuru
Hana jibu lolote.Huyu yupo hapa kueneza propaganda kuwa TBC ni TV bora.Period.Mkuu unaweza japo andika kwa ufupi kabisa, kama unajibu la swali langu. Nitakushukuru
shilingi ngapi mkuu?Unakumbuka walisema kupima ni sh ngapi?
Hii chanjo imekuwa sawa na siasa.JF Doctors, heshima kwenu.
Katika pitapita zangu niliweza kujifunza kuwa chanjo/ vaccine hutolewa kwa mtu ambaye ni negative yaan mtu ambaye bado hajaathiriwa na ugonjwa husika. Nikiwa na maana kwamba kama mtu ni mgonjwa basi chanjo siyo muhimu kwake badala yake atapewa dawa za kuutibu ugonjwa huo.
Sasa, hapa nahitaji kuelimishwa zaidi kuhusu hizo chanjo za covid 19, mbona sioni watu wakipimwa kwanza ili kubaini kama ni negative au positive ili wapewe/wasipewe hizo chanjo? Badala yake unajaza tu form na kupata vaccine.
Yeyote mwenye ufahamu alete elimu hapa,
Unataka uone ukiwa wapi? Ofisini kwako au nyuma ya desktop?JF Doctors, heshima kwenu.
Katika pitapita zangu niliweza kujifunza kuwa chanjo/ vaccine hutolewa kwa mtu ambaye ni negative yaan mtu ambaye bado hajaathiriwa na ugonjwa husika. Nikiwa na maana kwamba kama mtu ni mgonjwa basi chanjo siyo muhimu kwake badala yake atapewa dawa za kuutibu ugonjwa huo.
Sasa, hapa nahitaji kuelimishwa zaidi kuhusu hizo chanjo za covid 19, mbona sioni watu wakipimwa kwanza ili kubaini kama ni negative au positive ili wapewe/wasipewe hizo chanjo? Badala yake unajaza tu form na kupata vaccine.
Yeyote mwenye ufahamu alete elimu hapa,
Ningefurahi kama ungeniambia ulipimwa covid na baada ya majibu ukapata hiyo chanjo, kigezo cha kupimwa body temp siyo fact, magonjwa mengi yanaasili ya kupandisha body temp.Unataka uone ukiwa wapi? Ofisini kwako au nyuma ya desktop?
Kwenye kituo nilichopata chanjo mimi kulikua na fomu iliyojazwa baada ya kufanya vipimo basic kama uzito, urefu, blood presure na body temperature. Waliuliza pia historia za magonjwa mbalimbali na kwa wale ambao body temperature ilikua juu walielekezwa kufanya vipimo zaidi.
Kwa jinsi nilivyoelewa chanjo ya Corona inatolewa kwa kitu kinaitwa (emergency authorization) kama dharura kutokana na hali ya ugonjwa.
Basi ukiwa positive na ukachanjwa inakusaidia kupunguza makali ya uviko tofauti na yule asochanjwa kabisa.
Kama sijakosea nakumbuka kipindi cha Mzee walitangaza kuwa kupima ni Dollar 100...Labda kama wamebadilisha asahivi.shilingi ngapi mkuu?
Nami pia si daktari ila nimemnukuu professor LyamulyaAhsante kwa kujibu mkuu, mie sio daktari ila chanjo kama chanjo, hautakiwi kuchomwa ukiwa tayari una huo ugonjwa, hii ni kwa chanjo nyingi sijui kama ni kwa zote.
Kuna baadhi ya chanjo hata ukiwa na homa tu, hawakuchanji.
Ni kweli hii ya Covid ni dharura ambayo imeidhinishwa kuondoa hatari ya maambukizi.
Nnachokubaliana na maelezo yako ni kwamba, wanasema uwezekano wa kupata maambukizi upo lakini madhara hayatakua makubwa sana.