Unapenda kuona wenzako wanaumiaeee. Itakuwa una damu ya kichinaNingefurahi kama ungeniambia ulipimwa covid na baada ya majibu ukapata hiyo chanjo, kigezo cha kupimwa body temp siyo fact, magonjwa mengi yanaasili ya kupandisha body temp.
Sio kweli mkuu. Ukiwa positive kisha uchanjwe hali inaweza kuwa mbaya zaidi.Kwa jinsi nilivyoelewa chanjo ya Corona inatolewa kwa kitu kinaitwa (emergency authorization) kama dharura kutokana na hali ya ugonjwa.
Basi ukiwa positive na ukachanjwa inakusaidia kupunguza makali ya uviko tofauti na yule asochanjwa kabisa.
Tbc wametudanganya kwa muda mrefu sana so hata wakitoa taarifa ya ukweli hawaaminikiNajua wengi wetu humu hatuangalii TBC ila jana nilipata bahati ya kuangalia kipindi kile kinaongozwa na Ryoba.
Kulikuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona, hizo hoja zote na zile za Gwajima zimejibiwa kiufasaha zaidi.
Aliyekuwa anazungumza hakuwa mwana tbc ila ni professor wa muhimbili na aliongea kitaalam zaidi.Tbc wametudanganya kwa muda mrefu sana so hata wakitoa taarifa ya ukweli hawaaminiki
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hayo ni kwa mujibu wa wataalam wa afya. Sasa sijui wewe umepata wapi hayo maelezo. Kama hutojali fafanua zaidiSio kweli mkuu. Ukiwa positive kisha uchanjwe hali inaweza kuwa mbaya zaidi.
Kwani mimi sio mtaalam wa afya? Au hadi niwe na degree kumi kama Tuntemeke Sanga?Hayo ni kwa mujibu wa wataalam wa afya. Sasa sijui wewe umepata wapi hayo maelezo. Kama hutojali fafanua zaidi
Ndo maana nikakwambua fafanua zaidi mkuuKwani mimi sio mtaalam wa afya? Au hadi niwe na degree kumi kama Tuntemeke Sanga?