mbona sioni zikitangazwa nafasi za kazi za halmashauri ya nyamagana na ilemela

mbona sioni zikitangazwa nafasi za kazi za halmashauri ya nyamagana na ilemela

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,238
nashangaa kuona hakuna nafasi ya kazi yoyote ile kwenye hizo halmashauri mpya sasa sijui wanatekelezaje majukumu yao ikiwa hakuna wafanyakazi cha kushanagza hata nafasi za kujitolea hamna...au kama kuna mtu anajua taarifa zaidi atujuze
 
Mara nyingi kama sio zote Wilaya mpya, na mikoa inapoanzishwa watumishi wengi wanatoka kwenye Wilaya au mikoa ya Zamani i.e wanagawanywa hasa kwa nafasi zinazotaka uzoefu. Baada ya hapo watajaza hizo zingine kwa utaratibu wa kawaida wa ajira. By the way ajira zote sasa hivi zinatolewa kupitia sekretarieti ya Ajira na sina hakika kama umefuatilia huko na kugundua kwamba katika nafasi zote walizoita watu wa Interview siku za karibu hakuna watu wa kwenda huko Nyamagana na Ilemela
 
Back
Top Bottom