Mbona tamisemi hawatowi majina ya walimu awamu ya pili kwa walio kosa na wanavigezo

tafta post zilizopita zinazohusiana na hii inshu utapata majbu
 
jamani kama Kuna mtu Ana any news anijuze make mi nipo kijijini

Mkuu gazeti la habari leo serikali imetowa tamko wataajiri tena walimu wa awamu ya pili 2219 kuziba nafac zilizo acha wazi just wait.
 
Mambo haya ni lini mkuu?..maana ni kawaida kwa serikali yetu kutoa matamko na kusahau! lini watatupia majina sasa?...na hiyo hazina wanayoisingzia itamaliza mchakato lini?
 
Mkuu kwa mujibu wa ile taarifa inaonekana yatatoka mwezi huu
 
Unajua mcharge,hawa jamaa watatuajiri ila we sema tutakaa sana kitaa,kama ulivyosema unawauliza swali gumu wanakupa majibu mepesi ndo ilivyo.
 
Ila ujuwe nini sulle ile taarifa imetowa kidogo matumaini coz walikaa sana kimya bila tamko nakutuacha njia panda.
 
Dah asee poleni sana mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
hahahaha!nimecheka mpaka machozi yamenitoka,maana jamaa umeonesha hisia kama za kumfariji mfiwa,ila tunashukuru mkuu
 
Dah asee poleni sana mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Mkuu kuna kipindi ulikuwa unaudhuria sana kwenye hili jukwaa kabla post za uwalimu azijatoka or nakufananisha sikuzi mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…