Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Mbona huku tuko busy na mishe zetu wala hatuna habari na siasa zao za kitapeli? Kwa sasa huwezi ingia tele bila vpn iwe simu au vpn.
Nimekaa nimewaza hawa jamaa kwani wana matatizo gani, pamoja na wizi wote wanaoufanya bado wanataka kutukaba mpaka huku?
Nyie chawa wa Lumumba fikisheni ujumbe, hiki wanachofanya ni ushamba, waendelee kuhangaika na club house huku tupeni break kidogo!