Mechi za karibuni Simba imeshinda au imetoa sare.. haijapoteza.. Sasa matusi yalenga nini!?
Yaani kinachoumiza Simba ni matokeo ya yanga.. Ina maana kwa kiwango hiki cha Simba na ingetokea yanga inapoteza mechi zake.
Je, pangekuwa na malalamiko kwa mashabiki wa Simba?