Hata kama ni utani wa jadi. Haya majina tunayoitana yanasababisha ngumi sana mitaani
Tatizo Simba na Yanga ni watoto mapacha ambao ni mahasimu[emoji23][emoji23][emoji23]Mechi za karibuni Simba imeshinda au imetoa sare.. haijapoteza.. Sasa matusi yalenga nini!?
Yaani kinachoumiza Simba ni matokeo ya yanga.. Ina maana kwa kiwango hiki cha Simba na ingetokea yanga inapoteza mechi zake, je pangekuwa na malalamiko kwa mashabiki wa Simba!?
Hili jina Mbumbumbu Simba walipewa na M/kitu wao wa zamani Ndg, Rage...Hata kama ni utani wa jadi. Haya majina tunayoitana yanasababisha ngumi sana mitaani
AISEE!Hili jina Mbumbumbu Simba walipewa na M/kitu wao wa zamani Ndg, Rage...
So hakuna ngumi mitaani Mbumbumbu limekidhi vigezo kwa Simba na mashabiki wake.
Lilitolewa ktk mkutano mkuu wa Simba na wala hakuwa na Ngumi.
Simba ni Mbumbumbu tena watembee kifua mbeleeeeeee [emoji16]
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
nipe na historia ya jina, UTOPOLO NA MAKOLO
Utopolo na Makolo ni ujinga wa Haji Manara....historia yake ni ujinga wa Haji...[emoji16]nipe na historia ya jina, UTOPOLO NA MAKOLO
AaahaaaaTatizo Simba na Yanga ni watoto mapacha ambao ni mahasimu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mashabiki wapande zote wanataka upande wao uwe bora siku zote dhidi ya upande wa pili. Na katika hili hakuna siku itakuja kubadirika, ofcoz ndio ushindi wenyewe huo wakutaka kila upande uwe bora zaidi na kwa kiasi fulani una saidia kuinua viwango vya pande zote.
Malengo ya ushindani wa mechi za kimataifa ni kutoa sare ugenini na ushindi huwa ni bonasi sema nyumbani ushindi ni lazima. Sasa Simba mpaka sasa bado wako vizuri isipokua kinachosumbua ni matokeo ya Yanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia ni Simba damdam ila sifurahii matokeo yetu sababu ya Yanga ni hilo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mwamedi alisema ukimuita Ngada FC anaweza Lia hadharani [emoji2957][emoji1787]Hata kama ni utani wa jadi. Haya majina tunayoitana yanasababisha ngumi sana mitaani
Tulia tu mbumbumbu hata kama inakuuma,haya yote yanasababishwa na mlopokaji wenuHata kama ni utani wa jadi. Haya majina tunayoitana yanasababisha ngumi sana mitaani