Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi hizi kampeni zinazofanyika sasa si ni kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Au ni kampeni za Uchaguzi Mkuu?
Kwa sababu naona kama Tulia ame-lobby hii process na amefanya hii kampeni yote kumuhusu yeye.
Na hii benki iliyompa Tulia hizi bajaji nane kwa ajili ya Tulia Trust, mna uhakika hii sio kesi?
========================
Spika wa Bunge wa Tulia Ackson hivi karibuni amefanya Uzinduzi wa Ofisi ya Chama Cha Madereva na Wamiliki wa Bajaji Mbeya Jiji
Katika maadhimisho hayo, Benki ya PBZ Tawi la Mbeya ikimkabidhi Dkt. Tulia Bajaji Mbili na Pikipiki Nane Kwaajili ya Kuunga Mkono sera ya Tulia Trust.
Source: Dream FM TZ