kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
Kwanini unataka kutamka mbele za watu..
.....
Kiswahili ni Lugha ya watu wastaarabu na ni lugha yenye heshima yake. Na ndio maana mara zote huwa tunatumia tamathali za semi, mafumbo (Figures of speech) na tasifida pale tunapotaka kutamka maneno kama hayo, ambayo mbele ya jamii yetu na haswa mbele za watu. Hii ni sawa na kuvisha nguo maneno makali yatumikayo kwa lengo la kulinda maadili ya jamii.kiukweli haya maneno yana nichanganya tuna ambiwa kuwa kwa mjina ya kiafrica **** AU MBOO ndio neno sahihi lakini ukitamka mbele za watu unaambia umetukana.Pia kuna neno kama KUTOMBA ni lafudhi za kiafrika lakini leo hii yanaonekana ni tusi nashindwa elewa neno kama TIGO Nalo siku hizi halitamkwi hadharani kwa kweli tuna uwa lugha yetu.
Wataalam wa lugha ya Kiswahili wanasisitiza neno TASIFIDA au USAFIDI likimaanisha neno ili la Kiingereza euphemism. Na si TAFSIDA.x-paster, thanks. nilidhani ni tafsida na sio tasifida?
mtoa mada, katika lugha yoyote ile,kuna maneno ya kutumia na watu mbalimbali. ni kama kidhungu, kuna sex,making love na f*%king. kidhungu nadhani inaitwa 'dirty language'. na kwa heshima yake, utupu wa mwanamke unaitwa 'uke'
Uko sawa. Hilo neno pia Malaria Sugu anapenda sana kulitumia!hiki ni Kisukuma?