Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Daah maisha ya bongo bana, michosho mitupu aseeeeWakuu kama mtakumbuka kupitia jukwaa hili miaka miwili mitatu iliyopita tulihamasishana sana kuhusu ufugaji wa kware ili kunufaika na biaashara ya nyama na mayai. Tuliambiwa pia mayai ya kware yana afya kulinganisha na mayai ya kuku.
Ghafla, sioni tena ule ''moto'' wa ufugaji wa kware, nini kimesababisha? je, hakukufanyika utafiti? Je, ile afya au virutubisho kwenye mayai ya kware haikuwa kweli?
Nini lilikuwa lengo la upepo huo?Ulikuwa upepo tu.
Ilisemekana yanaongeza nguvu za kiumeNini lilikuwa lengo la upepo huo?
haya mrs chumviHayana faida, hayaongezi nguvu za kiume bana
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] dah jasho la kuku linapatikanaje?Waganga wameacha kutumia hayo mayai..kwasasa wanatumia jasho la kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah...!Mayai ya kware = D9 club
Hahahahah UFUGAJI WA NDEVU!Tanzania, ndiyo mahala pekee ambapo ukisema kuwa kinyesi cha nyoka ni dawa ya ugonjwa wowote ule ama ni dawa ya utajiri watu watafuga nyoka ili wapate hicho kinyesi bila kufanya uchambuzi na utafiti.
Jiulize,. Kama Taifa tunategemea utafiti wa taasisi uchwara ya TWAWEZA, ili kufanya maamuzi unategemea chochote hapo kwenye kware!?
Zaidi, hapo Tanzania, watu wamekaa kwa ajili ya kupiga deal na kusepa.
Mara Mitiki, oooh Oooooh Ufuguji wa Nyuki, Kilimo Kwanza, maara wiwiwii, Kilimo ni Biashara, oooh Oooooh, Kilimo cha Uyoga , Ufugaji wa Samaki.
Kilichobakia ni Ufugaji wa Ndevu nao itakuja kusemwa ni project yenye hela na soko.
Kwa kifupi, watanzania tunapaswa kujitathimini tunakoenda na hasa kupima haya matamko.
Zaidi ya hapo, tutakuwa tunaonekana kama waganga wa kienyeji.
Hahahahah UFUGAJI WA NDEVU!