Mbona ufugaji na biashara ya nyama na mayai ya kware umeyeyuka ghafla?

Wakenya walituthibitishia sisi wengi wetu ni kizazi cha "copy and paste".Hatuumizi vichwa kufikiri,kujihoji na kutafuta masoko wenyewe.
Kumbe ilianzia Kenya? ila sio mbaya kwani hata wao walimiminika Loliondo kwenye kikombe cha Babu.
 
Ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sana......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

SONY Xperia Z5 Premium
 
Mayai ya kware tupa kule,sasa tunakwenda na makinikia kwa spidi ya jet!!
 
Ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sana......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

SONY Xperia Z5 Premium


Mkuu, Mimi nakwambia , we need to re-evaluate our mental programs. Tunahitaji kufanya programming ya vichwa vya jamii yetu.
 
hapo ni pale watu wa marketing wanapokuwa wazuri kuliko uzuri wa bidhaa yenyewe
 
Ndiyo kilichobakia sasa.

Maana humu jf nimeona , mara ufugaji wa ng'e, mara ufugaji wa nyoka .
Mambo chungu nzima bado tu kusikia project ya kufuga NDEVU.




kama hivi
 

Attachments

  • images.jpeg.jpg
    8.3 KB · Views: 32


Siku hizi watu tunafuga kunguru na bundi kwa kwenda mbele tu....kware wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…