Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
Cha kushangaza TZ aikuwa na uasama wowote na Uganda kama Kenya. Idi amin alidhani TZ kuwa nchi hafifu sana isiyo na mwelekeo na kuelekeza chuki yake dhidi ya Kenya uko. Cha muhimu kujua ni kuwa aliogopa kuishambulia Kenya manake alijua ni nchi hatari sana na jeshi imara. Tz bado icho kipindi aikuwa na jeshi kamili wengi Katika TPDF walikuwa na panga na mishale aisee. Ukishangaa ya musa....
Ukishamaliza kukojoa, nenda ukalale, usisahau kuzima taa, wahi kulala kesho uwahi kwenda shule.Cha kushangaza TZ aikuwa na uasama wowote na Uganda kama Kenya. Idi amin alidhani TZ kuwa nchi hafifu sana isiyo na mwelekeo na kuelekeza chuki yake dhidi ya Kenya uko. Cha muhimu kujua ni kuwa aliogopa kuishambulia Kenya manake alijua ni nchi hatari sana na jeshi imara. Tz bado icho kipindi aikuwa na jeshi kamili wengi Katika TPDF walikuwa na panga na mishale aisee. Ukishangaa ya musa....
Muambie kwanini makundi yote yaliyokua yanampinga Idd Amin waliamua kuja kuishi Tanzania sio Kenya?, Obote, Yuweri Museven, Yusuph Lulee, na wengine wengi?, Kenya iliogopa kwamba ikiwahifadhi Amini ataiteka Kenya ndani ya mwezi mmoja.Kwanini Milton Obote alikimbilia Tanzania not Kenya? 😀
Nigga you dont know anything about TPDF. Unless umesha serve, or working with them, you have no right to say anything.TPDF sasa inajigamba na silaha za.kichina. silaha ambazo ni copy and paste kuota Ussr. Hizi silaha hazijatumika kwa vita vyema kujulikana kama ni imara. Izo ndege sijui J9 ambazo ni mig 21 old model zaweza pigwa na kungatuliwa na jiwe tuseme mjaluo akirusha. Ndege bure kabisa. Tz wakauzwa kwa mchina wasijue la kufanya. Atleast sasa hawatumii mishale tena na panga uko.
Kama sikosei utakuwa umezaliwa miaka ya tisini na 2,3,4. Hujui chochote kuhusu vita hiyoCha kushangaza TZ aikuwa na uasama wowote na Uganda kama Kenya. Idi amin alidhani TZ kuwa nchi hafifu sana isiyo na mwelekeo na kuelekeza chuki yake dhidi ya Kenya uko. Cha muhimu kujua ni kuwa aliogopa kuishambulia Kenya manake alijua ni nchi hatari sana na jeshi imara. Tz bado icho kipindi aikuwa na jeshi kamili wengi Katika TPDF walikuwa na panga na mishale aisee. Ukishangaa ya musa....
Tuliza viroba dogo. Sitishiki kwa historia. Ukweli ni kuwa idi amin dada aliamua bongo ni nchi ya kumilikiwa kiraisiLazima huyi kazaliwa 1994 na kuendelea. No sense of history what's so ever.
Moderator, Invisible, Maxence Melo, Mod uzalendo kwanza. Huyu alimwe permanent ban kwa kuikashifu nchi yetu.Cha kushangaza TZ aikuwa na uasama wowote na Uganda kama Kenya. Idi amin alidhani TZ kuwa nchi hafifu sana isiyo na mwelekeo na kuelekeza chuki yake dhidi ya Kenya uko. Cha muhimu kujua ni kuwa aliogopa kuishambulia Kenya manake alijua ni nchi hatari sana na jeshi imara. Tz bado icho kipindi aikuwa na jeshi kamili wengi Katika TPDF walikuwa na panga na mishale aisee. Ukishangaa ya musa....
Mmmmmh umejaribu lakini umekosa. Kenya ilisaidia Israel kwenya operation thunderbolt. Na bado Amin aliogopa kutuvamia hasira zote akaelekeza uko kageraMuambie kwanini makundi yote yaliyokua yanampinga Idd Amin waliamua kuja kuishi Tanzania sio Kenya?, Obote, Yuweri Museven, Yusuph Lulee, na wengine wengi?, Kenya iliogopa kwamba ikiwahifadhi Amini ataiteka Kenya ndani ya mwezi mmoja.
Kwani Kenya hakuna wazalendo.....jifunze kukubali maoni ya wengine. NyamazaModerator, Invisible, Maxence Melo, Mod uzalendo kwanza. Huyu alimwe permanent ban kwa kuikashifu nchi yetu.
Kasome concentration camp in Kenya ujifunze nini wazungu mnao wakumbatia na kuwapa ardhi ya jeshi mpaka leo hii kabla ya kufikiria Idi Amin.Tuliza viroba dogo. Sitishiki kwa historia. Ukweli ni kuwa idi amin dada aliamua bongo ni nchi ya kumilikiwa kiraisi
Acha kutaka kupata credit za kijinga, ndege ya Israel ilitua Kenya kujaza mafuta, hiyo ndio kusaidia Israel?. Amini alipiga Tanzania kwasababu ndiyo iliyokua kitovu cha movements zote za ukombozi barani Africa. KENYA iliendelea kufanya biashara na utawala wa Amin, wakati Tanzania,ilikua ndiyo chimbuko la vuguvugu la kuangusha utawala wa Amin.Mmmmmh umejaribu lakini umekosa. Kenya ilisaidia Israel kwenya operation thunderbolt. Na bado Amin aliogopa kutuvamia hasira zite akaelekeza uko kagera
Then what happened to him?Tuliza viroba dogo. Sitishiki kwa historia. Ukweli ni kuwa idi amin dada aliamua bongo ni nchi ya kumilikiwa kiraisi
Mshafikiria kutuhusu kwa iyo mada ya KDF wanane kuuwawa na IED uko Somalia na magaidi wa al shabaab. Sasa tunaangazia TPDF kushambuliwa na UPDF. iyo tu.Kasome consternation camp in Kenya ujifunze nini wazungu mnao wakumbatia na kuwapa ardhi ya jeshi mpaka leo hii kabla ya kufikiria Idi Amin.