Mbona ulinzi mkali sana, kunani?

Mbona ulinzi mkali sana, kunani?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
27_10_2010_003_008_003.jpg


Source: The citizen 27 Oct. 2010
 
Very silly guys....the consignment is empty!!!!! the real thing came by Navy Boats
 
Changa la macho tu kuonyesha kuwa kuna ulinzi.
 
hizo zimekuja kwa ndege zingine zimekuja kwa njia gani hama kweli haki kwa mungu duniani tunadanganyana.
Conquest-wizi kama kawaida ili tupate kula na vitambi:rip:
 
hizo naona ni mbwembwe za uchaguzi na danganya toto, unajua zanzibar ndiko moto utakapo waka, lakini hatutaki wanachama wa vyama wafanye vurugu hadi polisi walazimike kuingilia kati kutuliza mambo
 
Back
Top Bottom