hizo zimekuja kwa ndege zingine zimekuja kwa njia gani hama kweli haki kwa mungu duniani tunadanganyana.
Conquest-wizi kama kawaida ili tupate kula na vitambi:rip:
hizo naona ni mbwembwe za uchaguzi na danganya toto, unajua zanzibar ndiko moto utakapo waka, lakini hatutaki wanachama wa vyama wafanye vurugu hadi polisi walazimike kuingilia kati kutuliza mambo